Kiswahili kitaanza kufunzwa katika shule nchini Afrika kusini kuanzia mwaka 2020. Waziri wa elimu msingi, Angie Motshekga siku ya Jumatatu amesema kuwa Kiswahili kitafunzwa kama lugha mbadala kwa ...
Katrina Esau anafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa lugha yake asili, ambayo kwa sasa inazungumzwa na watu watatu pekee, haiangamii. Bi Esauni, 84, ni mmoja wa watu watatu walio hai ambao ...
Mja anayeweza kuzungumza vizuri zaidi ya lugha moja hupata faida nyingi katika maisha ya kila siku na kazini. Waja wanaofahamu lugha nyingi hujifunza mengi kuhusu tamaduni nyingine. Wana uelewa wa ...
Licha ya kuwa Lugha ya Kiswahili ,imetambuliwa lugha ya kimataifa ,juhudi za kuikuza bado ni kidogo.Nchini Kenya shirika la kimataifa la Toastmasters ,inayotoa mafunzo kuhusu namna ya kuwasiliana ...
CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimeiomba serikali kurasimisha lugha ya alama ili iwe lugha rasmi ya mawasiliano nchini sambamba na Kiswahili na Kiingereza, kwa lengo la kuwawezesha kundi hilo kuw ...
Afrika Kusini ni taifa lenye historia tata na yenye rangi nyingi za kitamaduni. Hili ndilo taifa pekee duniani ambalo katiba yake inazitambua rasmi lugha 11 kama lugha rasmi za taifa. Profesa Thandiwe ...
Kiswahili ni lugha ya taifa Tanzania na Kenya, na pia kinazungumzwa Uganda, DRC na visiwa vya Komoro. IPia kinazungumzwa kidogo Burundi, Rwanda, Kaskazini mwa Zambia, Malawi na Msumbiji. Neno ...
Kila inapofika Septemba 23 kila mwaka ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya ishara. Watu wenye ulemavu wa kutosikia au kusikia kwa shida wangali wanapata changamoto katika nchi nyingi ...
Fursa ya kupanua hadhi hii kwa baadhi ya nahau nyingi zinazotumiwa kila siku kuliko ile ya mkoloni wa zamani imeibuka tena tangu Mali, mkusanyiko mkubwa wa makundi ya watu, kupata uhuru mnamo 1960.